tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7353300484638891271..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Ni mimi, sisi, wao ama mazingira?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-86699999177554519302010-08-13T07:32:47.387-04:002010-08-13T07:32:47.387-04:00ustarehe kwa amani mzee Pwagu.ustarehe kwa amani mzee Pwagu.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-27375828931119743742010-08-13T05:48:48.336-04:002010-08-13T05:48:48.336-04:00Tukumbuke tu WAKALE nao walikuwa na KALE zao. Msem...Tukumbuke tu WAKALE nao walikuwa na KALE zao. Msemo `` Old is gold ´´labda kunamaeneo imezidishiwa sifa zisizostahili.:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-50966564920861573982010-08-13T03:42:09.156-04:002010-08-13T03:42:09.156-04:00kutamani ya jana ni sawa kabisa na kuyahofia, au k...kutamani ya jana ni sawa kabisa na kuyahofia, au kwa maneno mengine ni kuisha jana badala ya leo.

ila ya kale ni dhahabu, labda kwa kuwa sielewi dhahabu ninini isjekuwa komeo la kufungia choo, kama ningejua ubora wa dhahabu ningekubaliana nawe, ila dhahabu ilivyo mbaya kwa kuleta vita kwa waigombaniao, kuleta umasikini na hata kusababisha watu kujipodoa nayo, ukisema ya kale ni dhahabu labda ni kweli,

sema past ni muhimu kwa evaluation ya present, amini usiamini!

lakini mimi nafurahia nililonalo sasa. wengi huipenda past kwa sababu inawaweka mbali na future ambayo ni kifo!

najiuliza tu hapa mimie ehekamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-13573034873489290412010-08-13T03:39:13.005-04:002010-08-13T03:39:13.005-04:00RIP mzee PwaguRIP mzee PwaguMaisara Wastarahttps://www.blogger.com/profile/06507545821314552574noreply@blogger.com