tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7567022058055380117..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": SI NILISEMA!!????Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-86028652575564660382008-12-11T21:43:00.000-05:002008-12-11T21:43:00.000-05:00Napenda kukubali kazi yako kaka kwa kutetea haki y...Napenda kukubali kazi yako kaka kwa kutetea haki ya mtz. Ni kweli yametokea na yanasikitisha sana kwa kipindi hiki. pesa kubwa imetumika kutengeneza nguo za watoto wa alaiki ktk sherehe hizo wakati waalimu wanachuo wastaafu wakulima na watu wote wanadai pesa zakujikimu. its not fair ila kwa mtazamo wangu naona ya kuwa twapalilia long term causes za vita. Ni hayo tu but keep it up Bro

Alindwa BandioAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-45582899682223180762008-12-10T09:30:00.000-05:002008-12-10T09:30:00.000-05:00Kwa kweli hii sio haki kabisa inakuwa kama hawa vi...Kwa kweli hii sio haki kabisa inakuwa kama hawa viongozi hawana roho kabisa. Nauimia sana.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-84345193451136926152008-12-10T07:30:00.000-05:002008-12-10T07:30:00.000-05:00Ni kweli kweli kweli kweli kweli tupu. Kwenye ahad...Ni kweli kweli kweli kweli kweli tupu. Kwenye ahadi 10 za mwana TANU, chama baba wa walichonacho sasa, ahadi moja ilisema, "nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko."
Wacha tuseme ukweli!
Hapo ndipo Lucky Dube akatuuliza, "do u wanna be, a well fed slave or the hungry free man?"
Hakuna cha kutufanya tutabasamu.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-17422299265229472862008-12-10T05:43:00.000-05:002008-12-10T05:43:00.000-05:00Mmimi hoi kabisa naangalia tu kama yule jamaa wa k...Mmimi hoi kabisa naangalia tu kama yule jamaa wa kitabu cha The Beautiful Once are not yet born kuna jamaa anajitambulisha kwa majina ya Walking corps, walking stick, the seer,na the watcher. mmm UHURU na KAZI au UHURU na UWONGO????
imenishinda hii mada nipo hoi kwaheri kwa leoMARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-31719424476357443232008-12-10T05:23:00.000-05:002008-12-10T05:23:00.000-05:00Ndio Kaka Shabani. Kwa kuwa umeweka mashairi, basi...Ndio Kaka Shabani. Kwa kuwa umeweka mashairi, basi natumai nitaweza kuutumia huu wimbo kwenye section ya Them, I and Them katika kuzungumzia waliyosema hawa waheshimiwa wanamuziki kwa hadhira yao (ambayo kwa Lucky ilikuwa ni viongozi). Kaka Simon, kazi ipo tena kubwa. Tupo pamoja na tuone namna mambo yanavyokwenda kutakuwa na nini MAWAZONI mwa mtanzania wa kawaida
BlessingsMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-31013011854256313002008-12-10T00:56:00.000-05:002008-12-10T00:56:00.000-05:00Kazi ipo!Kazi ipo!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-61526216390756096302008-12-09T22:56:00.000-05:002008-12-09T22:56:00.000-05:00Leo umenikumbusha kibao cha Hayati Lucky Dube cha ...Leo umenikumbusha kibao cha Hayati Lucky Dube cha Political Games.
Hebu someni Mashairi haya hapa chini, muone jinsi mwanamuziki huyu alivyowachambua viongozi wa Afrika.

How do you feel when you lie?
Straight faced while people cry
How do feel when you promise something
That you know you’ll never do
Giving false hope to the people
Giving false hope to the underprivileged

Do you really sleep at night?
When you know you’re living a lie
To you it is just a job
To the people it hurts to the bone

What do you say to the orphans?
If the woman and men you sent to war.
What do you say to the widows?
Of the men you sent to war
Telling them it is good for the country
When you know it’s good for your ego
What a shame.
Do you really sleep at night?
When you know you’re living a lie
You talking tough, you talking sincerely

Giving false hope to the infected
Giving false hope to the affected.
To you it is just a job
To the people it hurts to the bone.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.com