tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7691478380151310932..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Them, I & Them...AFRICA UNITE....Bob MarleyMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-50186704509988404212011-05-07T00:56:57.675-04:002011-05-07T00:56:57.675-04:00@emu-three.
Dini mbalimbali zinaheshimu kwa namn...@emu-three.

Dini mbalimbali zinaheshimu kwa namna ya pekee watu walio hai au waliokufa ambao walionekana kuwa jirani zaidi na Mungu wakaambukizwa utakatifu wake. Kwa hiyo pengine wanaitwa watakatifu na kutazamwa kama vielelezo vya uadilifu na waombezi.

Katika Uyahudi Jina linalotumika zaidi ni tzadik (mtu wa haki, mwadilifu), aliyejitahidi kufuata Torati.

Kitabu cha TALMUD kinasema kila mara duniani walau 36 tzaddikim wanaishi kati yetu na kuzuia ulimwengu usiangamizwe.

Pengine wanaitwa hivyo hata watu wa mataifa, hasa waliojitahidi kusaidia Wayahudi, k.mf. wakati wa dhuluma.

Mwanzoni mwa Kanisa kila Mkristo aliitwa mtakatifu kwa sababu alitengwa na ulimwengu na kuwekwa wakfu kwa Mungu aliye mtakatifu, mtakatifu, mtakatifu.

Sifa hiyohiyo ilitolewa pia kwa mahali, siku, vitu n.k. kutokana na matumizi yake ya kidini.

@Mubelwa

Nimekuwa nikipita hapa kijiweni kimya kimya leo nimewiwa kuacha unyayo.

Ahsante kwa kipengele cha Them, I & Them. PAMOJA TUNAWEZA.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/00626584051542002466noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-38928726072967622872011-05-06T07:50:13.207-04:002011-05-06T07:50:13.207-04:00Unajua katik hali ya kimaisha unaweza ukawa mtaka...Unajua katik hali ya kimaisha unaweza ukawa mtakatifu hata kama haupo katika yale masharti ya kuwa mtakakatifu , kama vile mtu anaweza kuwa mwema hata kama haamini dini...!
\Bob maneno yake yalitosha kabisa kuwa katika kundi la watakatifu au nasema uwongo!, sijui matendo yake, lakini maneno yake katika nyimbo zake mmmmh, mtakatifu!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com