tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7724533618349325695..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Labda sisi si maskiniMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-58467089753195238492009-04-09T06:49:00.000-04:002009-04-09T06:49:00.000-04:00Nimewahi kusema kuwa, kila mtu anvuna alichopanda ...Nimewahi kusema kuwa, kila mtu anvuna alichopanda hapa duniani.
sisi tumepanda umasikini na sasa tunavuna umasikini.
Tahitaji tafakuri kubwa kuukubali ukweli huu.
Lakini ukweli ni kwamba tumejitakia wenyewe umasikini, tumepewa macho hatuoni, tumepewa masikio hatusikii na tumejaaliwa akili lakini hatuzitumii.
sasa tunamlaumu nani?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/17192821931569912610noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-70691092529978357922009-04-09T03:56:00.000-04:002009-04-09T03:56:00.000-04:00siku hizi sipendelei sana kusoma habari zozote zin...siku hizi sipendelei sana kusoma habari zozote zinye harufu ya kisiasa ziwe za kitaifa, kimataifa na hta za kifamilia kwani zinakujaza wazimu na hasira juu ya ujinga ufanyiikao. nimeacha hata kusoma magazeti yakisiasa nikaingia kwenye kujitambua zaidi na zaidi.

mtu ambaye anaisha kwa kuutukuza mwili wake badala ya roho daima atafanya maamuzi ya kichizi na wazimu. yule anayetanguliza au kutawaliwa na roho atafanya vitu vya akili baada ya kugundua kuwa mwili si chochote si lolote utaishia pafupi tu!

ukiangalia ujinga wa binadamu na mali utacheka mpaka ufe kama una macho ya kuona.

labda nyie ni masikini.

watanzania wanakazi japo hazijasajiliwa.

msifagilie sana vitu vya duniani bwana sisi ni matajir wa kutosha kwa sababu bado tunaishi na tuuuaendelea kuishikamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-83067269610220376212009-04-09T02:22:00.000-04:002009-04-09T02:22:00.000-04:00Umasikini?La hasha!Sisi siyo masikini kaka. Ila tu...Umasikini?
La hasha!
Sisi siyo masikini kaka. Ila tunalazimishwa kuwa hivyo na wale wenye maneno matamu kila baada ya miaka mitano. Ambao baada ya sisi kukaa kutwa nzima katika foleni ndefu ya kuwapigia kura, huanza kuonja pepo ya duniani.
Kama rasilimali zilizopo nchini mwetu (Mungu hapendi tuwe masikini nd'o maana nchi imebarikiwa) zingetumika kwa maslahi ya taifa unadhani tungekuwa hapa?
Kama sekta ya kilimo ingetiliwa mkazo na kupewa kipaumbele, watu wangekumbwa na njaa? Wakati mwingine viongozi wafike pahala waone aibu. Kwa nchi yenye mvua ya kutosha na ardhi ya kutosha yenye rutuba bado tunaimba umasikini! Wanaotutazama lazima watushangae kisha watucheke.
Vipi sekta ya madini? Wanataka watuite masikini kwa kusaini kwao mikataba mibovu!
Hivi kweli inaingia akilini?
Mi nadhani wenzetu waomba kura hawana shida ya kuendeleza nchi. Lucky Dube katika Rastaman's prayer aliimba kuwa hata viongozi wa kisiasa humshukuru Mungu kwa kuwawezesha kulidanganya taifa hata linapolia wakiwa na nyuso kavu.
Nao wanaimba umasikini wakiwa na nyuso kavu ili tuamini 'sisi ni masikini'
La hasha!
Ni hayo tu!Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-12064442742353350792009-04-08T23:48:00.000-04:002009-04-08T23:48:00.000-04:00Umasikini si kilema matatizo ya dunia, Kuna watu u...Umasikini si kilema matatizo ya dunia, Kuna watu unawakuta masikini kwa siku anapata chakula mara moja tu lakini inatokea bahati nzuri akatajirika ghafla yote hayo ni uwezo mungu.Mzee wa Taratibuhttp://www.borntosufer1.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-13857337118397054302009-04-08T23:27:00.000-04:002009-04-08T23:27:00.000-04:00Nilisoma habari ya yule mtoto wa malawi aliyeasili...Nilisoma habari ya yule mtoto wa malawi aliyeasiliwa na Mwanamuziki Madona, alipomuuliza baba yake wa kumzaa kwamba kwa nini yeye ni masikini?

Kumbe hata watoto wanweza kumuangalia mtu na kujua kuwa mtu huyo yuko kwenye lindi la Ulitima?

Siosi sio masikini rasilimali kwani mungu katujaalia kuana na rasilimali za kutosha kabisa bali tunao viongozi ambaoni masikini wa mwisho kabisa katika kufikiri......
Wakati mwingine naona haya kujivunia Utanzania...Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.com