tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post772783646970128477..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": What if we "what ifs" positively?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-77819974788397402632008-11-28T07:25:00.000-05:002008-11-28T07:25:00.000-05:00mzee wa changamoto. rangi za blog yako zinanichang...mzee wa changamoto. rangi za blog yako zinanichanganya macho bwana. yaani nyeusii kwa nyeupe duh? siwi negative but think about it. yaani nikisoma macho yagombaaa.<BR/><BR/>kwenye negative kunaanzia mbali. hata kwenye nyumba za ibada tunaambiwa jinsi tulivyokuwa nauwezekano wa kuingia motoni zaidi ya rahani. kwa hiyo hii yaanzia mbali ngugukamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-75357235441525251012008-11-26T04:43:00.000-05:002008-11-26T04:43:00.000-05:00Kwanza nashukuru sana kwa makala(mjadala ) huu. Hi...Kwanza nashukuru sana kwa makala(mjadala ) huu. Hili jambo lilikuwa linanikera sana. Hii ni kweli watu hukatishana sana tamaa kwani mara nyingi watu wanasema usifanye hivyo kwani hapatakuwa na mafanikio. Je wao wanajuaje bila kujaribu?. Na sio katika jamii tu hata katika makazi yaani ofisini nk. ukitoa maoni au ukija na swala fulani yaani kama kufanya mabadiliko nk.utasikia haiwezekana kwani hatuwezi. iwe hivyo hivyo je mmejaribu hapana. Lakini iweje mkate tamaa kabla hujajalibu? Katika jamii hii ya kutiana moyo bado sijaelewa itakuwaje nimtie moyo ndugu yangu ambaye hataki kuwa padre yaani hana wito au ndoto ya kuwa padre je ni busara kumtia moyo?<BR/>ni mawazo yangu tuYasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com