tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7755392686965103011..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Familia...Huishia wapi?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-47066970742577172172012-05-16T01:45:18.789-04:002012-05-16T01:45:18.789-04:00Familia ni pana ni wewe mwenyewe tu utaamua kuiwek...Familia ni pana ni wewe mwenyewe tu utaamua kuiwekea mipaka,wapi familia yako unataka iishie, wengine kwenye shughuli huigawa familia kwa mtizamo huu:
Familia ya kikeni na familia ya kiumeni, na familia yako wewe mwenyewe kama umeoa na uan watoto, ila wewe upo ndani ya familia ya kiumeni,kitaratibu za kiafrika...
Mfano kama wewe ni mtoto kwenye familia ya baba na mama yako, familia ya kikeni ni ile familia ya mama yako..huko kuna mjomba nk.

Famili ya kiumeni ni ya akina baba zako, napohapo utampata shangazi, ambaye ni dada wa baba zako nk...
Na ndipo hapo nikagundua kuwa shangazi anapatikana kote, kiumeni na kikeni...kwa sisi waafrika au sio,
Na hapo nikajiuliza shangazi yupi mwenye sifa ....maana kila harusi au shughuli wajomba na shangazi ndio wanapewa kipa umbele...emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-10352753210221855222012-05-15T11:24:52.423-04:002012-05-15T11:24:52.423-04:00Mimi pia nina shida hii ya kujua familia ni wapi i...Mimi pia nina shida hii ya kujua familia ni wapi inaanza na wapi inaishia. Huwa mara nyingi nabishana na BBW hapa:- Yeye anasema familia ni watoto yeye na mimi...na mimi nasema HAPANA wao sio ndugu wala familia yangu isipokuwa kaka zangu watano na marehemu mdogo wangu Asifiwe wao ndio FAMILIA YANGU..Je? ipo sahihi hii?Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.com