tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post7944957115856387172..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Tanzania yangu .....Na DHIHAKA ya kuenzi Oktoba 14Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-1485929832195393382016-10-12T06:26:28.050-04:002016-10-12T06:26:28.050-04:00Hakika ulinena vema Hakika ulinena vema Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-24039960633512031992009-10-29T10:54:05.776-04:002009-10-29T10:54:05.776-04:00Umenena; na tuko pamoja katika hili. Ninashangaa k...Umenena; na tuko pamoja katika hili. Ninashangaa kwamba mambo hayaendi vyema na badala ya kumtumia Mwalimu kuwakumbusha Watanzania misingi hasa ya taifa letu; na athari za udini na ukabila ambao sasa unafukuta chini kwa chini, badala yake tumekazania kukatazana hata kusikiliza hotuba zake. Kama alivyohoji Mwalimu - udini na ukabila utatusaidia nini hasa sisi kama Watanzania? Acha pia tucheze na haya matabaka tunayoyalea - matajiri wa kupindukia wachache sana na wengi hohehahe kabisa wasio na cho chote. Ipo siku (kutumia msemo wa Mwalimu) - msingi wa nyumba hii nzuri iitwayo Tanzania "utatikisika". Sijui utakuwa ni mtikisiko wa aina gani. <br /><br />Inabidi viongozi wetu wafumbue macho, waone nchi inakoelekea na kuchukua hatua. Vinginevyo - kama titanic - tumekaa tukihubiri amani na upendo na kumbe mbele yetu jilima kubwa la "iceberg" ya mfarakano wa kitabaka, udini na ukabila lipo linatujia.Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.com