tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post8150320418523271457..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Tanzania Yangu.... Ijengayo Ghorofa ikipuuza msingiMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-68493524576740266212009-09-17T16:25:11.307-04:002009-09-17T16:25:11.307-04:00Ninanukuu "Ni kwanini aanze Rais "kuzung...Ninanukuu "Ni kwanini aanze Rais "kuzungumza na wananchi" na sio wajumbe wa nyumba kumikumi, watendaji wa vijiji, makatibu kata, makatibu tarafa, wabunge, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa na kisha Rais? Yaani tunaanzia juu kwenda chini???"mwisho wa kunuuu. ni kweli hata mie nimekuwa najiuliza mara zote kwa nini????Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-24203569685994099772009-09-17T15:54:32.438-04:002009-09-17T15:54:32.438-04:00Nchi kubwa lile unajua? hehehe...bwana kaka yangu ...Nchi kubwa lile unajua? hehehe...bwana kaka yangu unajua mie hata nikiwa serious nacheka tu so anyway...mie naona nchi ile hata bila rais inakwenda tu kwasababu kila mtu anajitafutia mwenyewe...sijui mambo ya misaada ya vyandarua kwa mama wajawazito na mengine etc... sidhani kama kila mtanzania ana hiyo so called "maisha bora"...as usual...ni mawazo yangu tu :)Faith S Hilaryhttps://www.blogger.com/profile/02071861905361541424noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-23663354836176803652009-09-17T11:02:04.033-04:002009-09-17T11:02:04.033-04:00Huduma ya umeme kwa sasa hapa Tanzania hairidhishi...Huduma ya umeme kwa sasa hapa Tanzania hairidhishi hata kidogo,kila kukicha unakatika,siku yapita umeme haupo.BIMA za afya zabagua magonjwa,utaambiwa kwa ugonjwa huu bima haiwezi tumika,dawa hizi kwa bima huwezi kuzipata,da!, ni nyanja nyingi sana ziigusayo jamii zaendeshwa juu juu tu na kiubabaishaji,yani ilimradi vitengo vya kutoa huduma vipo tu na majina makubwa lakini utoaji wa huduma zenyewe ni ziro. Najiuliza kwa kusoneka saaana sijui ni lini tutaondokana na wimbi hili la kukandamizwa(kwa ridhaa yetu).Ukweli ni kwamba hakuna uhusiano wowote wa maendeleo ya nchi na wananchi wenyewe,kila mmoja kwa namna yake atajua ni kwa namna gani atastand yeye kama yeye na aweze kuishi, ndio maana wenyewe kwa wenyewe twaibiana,twauana,yani twafaidiana kiujumla, "struggle for exstance" na "survival for the fittest" vyote kwa pamoja ndani ya wahanga wa umasikini uliokithiri.Albert Kissimahttps://www.blogger.com/profile/12931488222535021826noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-87886261292587990192009-09-17T01:19:17.662-04:002009-09-17T01:19:17.662-04:00Ndugu yangu Mubelwa nchi hii imejaa maigizo, keki ...Ndugu yangu Mubelwa nchi hii imejaa maigizo, keki ya taifa inaliwa na wachache,tabaka la wakwezi linapanuka sana tu usomi unazidi kupungua kwa sababu kidato cha nne kinageuka darasa la saba,viongozi wanatumia mgawanyo wa pato la taifa kama kipimo cha umaskini badala ya kupima ustawi mzima wa maisha ya wananchi,mabepari wa kiafrika ndio viongozi wa nchi,nakumbuka maneno ya mwandishi P. bundala wa kitabu cha Je waafrika ndivyo tulivyo? ambaye anaamini umaskini mkubwa wa Wafrika ni umaskini wa FIKRA na hii ndio inazaa yote haya.-ASANTE KWA WAZO ZURITandasihttp://www.ndotoyangu-harakati.comnoreply@blogger.com