tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post8201310554503426321..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Ni lini tutawaenzi WATU hawa?Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-19312482150180821132009-08-18T12:10:25.201-04:002009-08-18T12:10:25.201-04:00Nimeipenda "changamoto" hii.Kimsingi hil...Nimeipenda "changamoto" hii.Kimsingi hili ndilo lililonisukuma kuanzisha Bongo Celebrity.Niliona ipo haja ya kuenzi wakongwe na watu wengine maarufu ambao,kwa njia moja au nyingine,wamechangia kutufanya tuwe jamii kama tulivyo.Niliona ipo haja ya kuhifadhi habari zao.Mahali pa pekee nilipoona pana uwezo wa kusaidia katika hili ni mtandaoni.

Masangu,wazo la Tanzania Walk of Fame ni zuri mno.Naliunga mkono.BChttp://bongocelebrity.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-52353672796963355712009-08-18T04:02:24.547-04:002009-08-18T04:02:24.547-04:00tatizo ni kwa sisi wenye vipaji wenyewe, hatujiami...tatizo ni kwa sisi wenye vipaji wenyewe, hatujiamini na tunatarajiwa kusaidiwa na wasiojua vipaji vyetu vikoje.

kuna wakati unashindwa kujua kipaji fulani kikoje isipokuwa mwenye nacho ndiye ajuaye kwa hiyo yatubidi kuwa wabunifu sisi wenyewe jinsi ya kuvifanyia kazi.

kama zecomedy, walipiga hatua, wakahangahika na sasa wanafurahia vipaji hivyokamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-37507259652254257512009-08-18T03:39:06.666-04:002009-08-18T03:39:06.666-04:00Yaani hatujali kabisa, cheki wenzetu wanavyomkumbu...Yaani hatujali kabisa, cheki wenzetu wanavyomkumbuka Bob Marley, halafu nasi tunawaiga inapofika siku ya kumkumbuka na sisi tumoNicky Mwangokahttps://www.blogger.com/profile/00332297597802872607noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-3598502122814363752009-08-18T03:27:31.958-04:002009-08-18T03:27:31.958-04:00Naoma waliotangaulia wamesema yote. Ila kweli inas...Naoma waliotangaulia wamesema yote. Ila kweli inasikitisha sana tena sana. Ni wazo zuri Prof. Masangu kwanini tusifanye hivyo? Tupo pamoja na tutafanikiwa tu.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-53351220533372604842009-08-18T01:18:18.074-04:002009-08-18T01:18:18.074-04:00Tena tunao wa kutosha sana.Tena tunao wa kutosha sana.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-36428272634054725032009-08-17T23:45:05.586-04:002009-08-17T23:45:05.586-04:00Hata kama ungekuwa na kipaji cha namna gani hakuna...Hata kama ungekuwa na kipaji cha namna gani hakuna anayejali tena usije ukashangaa ndiyo ukaanza kutazamwa kama adui anayestahili kupigwa vita. Ndiyo sababu wengi wanakata tamaa na kutimkia nje ambako vipaji vyao vinathaminiwa na kutuzwa. Niliwahi pia kulalamika kidogo kuhusu suala hili hapa: http://matondo.blogspot.com/2009/04/vijana-wetu-watundu-tunawasaidiaje.html

Si vibaya tukianzisha "Holywood Walk of Fame" yetu pale Mnazi Mmoja. Ndhani tunao "ma-celebrity" wa kutoshaMasangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.com