tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post8323242915798786088..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Mawazo ya sauti (I).....OMBIMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-14942025686953690592012-03-11T13:40:30.466-04:002012-03-11T13:40:30.466-04:00Tatizo ni kwamba inabidi tufikiri mno ili kuelewa ...Tatizo ni kwamba inabidi tufikiri mno ili kuelewa unachokisema katika huu uwazaji wako wa sauti... Na wengi wetu hatutaki kufikiri.<br /><br />Hebu tuwekee udaku bwana ili tutoe maoni....<br /><br />...> Asante kwa kuyaweka haya maoni pamoja. Nimemaliza kuyachapisha na nitakuwa namung'unya pole pole mpaka nitakapoyamaliza (kama kunamalizika!)Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.com