tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post8380025692480536902..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Nguvu ndani mwetu isiyo na nguvu kwetu bila nguvu miongoni mwetu.Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-46599853308293799012009-12-03T05:49:38.347-05:002009-12-03T05:49:38.347-05:00Hakika, kupewa msukumo, kutiwa moyo ni kitu muhimu...Hakika, kupewa msukumo, kutiwa moyo ni kitu muhimu sana. Kwani kuna watu utakuta wanawaambia wengine we nini eti anataka kufungua duka utaweze kweli???? Badala ya kumwambia nakutakia mafanikio mema hata kama sio ndugu yako mpe moyo, mpe msukumo na uone nini kitatokea. Na kuna wengine wanasema kwani akiwa tajiri atanigawia na mimi sio hivyo tenda mema usingoje shukrani hapa duniani. Na wala usidai.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-88624741035937009382009-12-03T01:36:56.936-05:002009-12-03T01:36:56.936-05:00nililazimika kukaa mbali na wale walioonekana kust...nililazimika kukaa mbali na wale walioonekana kustahiri kunipa msukumo maishani (familia yangu ) na sasa naendelea vizuri kuliko nilipokuwa karibu nao!kamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-6721572308609946052009-12-03T00:43:25.046-05:002009-12-03T00:43:25.046-05:00Kaka, mwalimu wangu mmoja alipenda kuniambia, '...Kaka, mwalimu wangu mmoja alipenda kuniambia, 'if you don't use; you lose.' Akiwa na maana kuwa nguvu ama karama yoyote kama hutoitumia utaipoteza. Hivyo katika maisha yetu twapaswa kuzitumia vema nguvu ndani yetu na nguvu za wenzetu ndani yetu pamoja nguvu zetu kwa wenzetu. Kwa kufanya hivyo tunajihakikishia kutozipoteza nguvu hizo.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-22785802841054506022009-12-02T22:24:33.996-05:002009-12-02T22:24:33.996-05:00Ni kweli. Wengi wetu tusingeweza kufika hapa tulip...Ni kweli. Wengi wetu tusingeweza kufika hapa tulipo bila kupewa msukumo na watu wengine. Mimi huwa nauchukulia kama wajibu wangu kuwasukuma (kwa namna yo yote niwezayo) wengine wanaohitaji msukumo wangu - wawe ndugu, marafiki au watu wasionifahamu. Hakuna ridhiko kuu kama kufahamu kwamba umemsukuma mtu akasukumika. Na mara nyingi usitegemee shukraniMasangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.com