tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post8625246420114635257..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Shimo la uokozi lawafikia wachimbaji wa ChileMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-72618130380766273452010-10-09T21:52:48.804-04:002010-10-09T21:52:48.804-04:00Jamani!!! Mungu awasaidie watoke salama, sijui na ...Jamani!!! Mungu awasaidie watoke salama, sijui na yule mama aliejifungulia huko chini sijui anaedeleaje na mwanaemumyheryhttps://www.blogger.com/profile/00587673739873420894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-70197791633336742472010-10-09T11:33:03.507-04:002010-10-09T11:33:03.507-04:00Huu ni muujiza kabisa. Natumaini kwamba kila kitu ...Huu ni muujiza kabisa. Natumaini kwamba kila kitu kitakwenda sawa kwa mapenzi ya Mungu na wachimbaji hawa wataokolewa.

Kwingineko tunayo mengi ya kujifunza kutokana na juhudi za Chile katika kukabiliana na majanga kama haya. Tuliona maajabu wakati ule wa tetemeko la rdhi na sasa janga la hawa wachimbaji wa madini. Mpaka Wamarekani wenyewe wanashangaa.

Ingekuwa sisi sijui ingekuwaje. MV Bukoba ilipozama ilikuwa kasheshe nguo kuchanika na inavyoonekana hakukuwa na mtu aliyekuwa anajua nini la kufanya. Kukiwa na moto au majanga mengine zimamoto wetu huenda bila maji ali mradi ni kasheshe tupu.

Hebu soma hii makala kutoka gazeti la Habari Leo uone ninachokizungumzia hapa: http://www.habarileo.co.tz/safu/?n=10508Masangu Matondo Nzuzullimahttp://matondo.blogspot.comnoreply@blogger.com