tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post8700832738804954410..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Dah!! Waandishi wetu jamani.......Mzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-46840143363045958772009-02-06T00:14:00.000-05:002009-02-06T00:14:00.000-05:00Mubelwa, ukitaka movie aliyoitaja Simon nifahamish...Mubelwa, ukitaka movie aliyoitaja Simon nifahamishe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-18834776158655137692009-02-05T07:49:00.000-05:002009-02-05T07:49:00.000-05:00Ukiweza tafuta movie iitwayo Shattered Glass imuon...Ukiweza tafuta movie iitwayo Shattered Glass imuongeleayo Mwaandishi Stephen Glass ambaye alikuwa anatunga hadithi na kuziripoti kama facts. Kwa kifupi kidogo kuhusu hadithi hii cheki:
http://en.wikipedia.org/wiki/Stephen_Glass_(reporter)Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-43676436797218840252009-02-04T15:49:00.000-05:002009-02-04T15:49:00.000-05:00Tatizo la waandishi wa Bongo linachangiwa na elimu...Tatizo la waandishi wa Bongo linachangiwa na elimu duni isiyowawezesha kupambanua mambo. Pili, waandishi wanalazimika kuandika kutokana na matakwa ya weye vyombo vya habari lakini vile vile kuna nidhamu ya uoga ya kuogopa kuandika ukweli hata pale kunapokuwa na ushahidi wa kutosha.
Nadhani kuna haja ya kuboresha elimu ya waandishi wa habari, journalism ijengwe kuwa profession inayoheshimika badala kuwa ni taaluma ya makanjanja.
Aidha kuna haja ya kuwa na uhuru wa waandishi wa habari, waandishi wafanye kazi zao bila ya kuingiliwa na wamuliki.
Ni hayo tu kwa leo.
Mdau
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/Faustinehttps://www.blogger.com/profile/17253666093262801440noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-5301786515472182362009-02-04T15:35:00.000-05:002009-02-04T15:35:00.000-05:00Je, kuna adhabu yo yote ambayo mwandishi anaweza k...Je, kuna adhabu yo yote ambayo mwandishi anaweza kupewa kwa kuandika habari ambazo si za kweli? Kusema kweli kwa hali ilivyo sasa kwa Tanzania ni vurugu mechi kwani mtu huwezi kujua upi ni udaku na zipi ni habari za kweli zilifanyiwa uchambuzi wa kina. Ni uhuru uliopindukia kimo sijui. Zamani kulikuwa na gazeti la Rai chini ya Jenerali Ulimwengu. Lilijibidisha sana kuandika makala nzuri zilizofanyiwa uchambuzi wa kutosha. Sijui sasa gazeti hilo lina hadhi gani tangu akina Jenerali Uliwengu waondoke huko. Kwa walioko Tanzania, ni gazeti gani ambalo linaandika habari kwa kina kabisa ambalo mtu unaweza kusoma ukaridhika? Kama alivyosema dada Koero, kuna mambo ya msingi kabisa katika mfumo wetu wa elimu na maisha kwa ujumla katika jamii ambao unahitaji kufanyiwa kazi kwani ukosefu wa umakinifu unaoonyeshwa katika haya magazeti upo karibu katika kila sekta. Tufanyeje?Masangu Matondo Nzuzullima (MMN)https://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-86139304699247460382009-02-04T11:33:00.000-05:002009-02-04T11:33:00.000-05:00dUH! umenikumbusha kitu, najaribu kuandaa kuwahoji...dUH! umenikumbusha kitu, najaribu kuandaa kuwahoji waandishi wa habari katika mfumo wa makala itakuwa hivi WAANDISHI WA NI MAIMUNA? nashindwa kuelewa habari kama hiyo iliyopo hapo, nachanganyikiwa kuwa habari hizo wanapata wapi ambazo zinakosa kuchimba. Yapo mengi sana na kuna mmoja ya wanahabari alisema waandishi wanaandika hadi takataka katika vyombo vya habari. Ngoja namini dada Koero atanisaidia hoja bila kukosa. Hatufikiri,hathoji,hatujisumbui na tunakula kilichopaswa kuliwa!MARKUS MPANGALAhttps://www.blogger.com/profile/11499845930276191685noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-16704305932676013762009-02-03T23:19:00.000-05:002009-02-03T23:19:00.000-05:00mfumo wetu wa elimu ndio umepelekea yote hayo.Tuli...mfumo wetu wa elimu ndio umepelekea yote hayo.
Tulifanywa wajinga na akili zetu zimefifishwa ili tutawaliwe kiulaini.
Hivi sasa dalili za kuerevuka zimeanza kudhihiri na ndio maana tunashuhudia migogoro na migomo katika sekta za elimu, hii yote ni kutokana na vijana kushitukia dili la wanasiasa wetu.
Tunahitaji mapinduzi makubwa katika mfumo wetu wa elimu la sivyo hatutaishia kuwashangaa waandishi wetu wa habari tu.Koero Mkundihttps://www.blogger.com/profile/07548301751725756059noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-89259561765245454552009-02-03T22:47:00.000-05:002009-02-03T22:47:00.000-05:00Kazi ipo!:-(Kazi ipo!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com