tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post1963619446088334964..comments2023-09-22T16:29:14.938-04:00Comments on "The Way You See The Problem Is The Problem": Majibu ya MMILIKI WA TUZO ZA BLOG TANZANIAMzee wa Changamotohttp://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-12711307050605018882011-05-17T13:06:57.171-04:002011-05-17T13:06:57.171-04:00Nilikuwa nimetingwa na kazi, kiasi kwamba suala hi...Nilikuwa nimetingwa na kazi, kiasi kwamba suala hili la awards nilikuwa nasoma kicha cha habari lakini siingi kwa ndani, kwa sasa ndio nimepata picha baada ya kupitia blogu ya Kamala, Bwaya,Mcharia na hapa, na pia baada ya kusoma maoni ya akina Matiya, emuthree, Mtktf na wengine wengi. Nina mengi ya kujiulizaChibhttp://ebchib.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-38517699406287629532011-05-17T07:25:24.109-04:002011-05-17T07:25:24.109-04:00Tuwenii macho na vitu kama hivi, sidhani kuwa tuli...Tuwenii macho na vitu kama hivi, sidhani kuwa tulianzisha blog zetu ili tupate hizo zawadi.
Ok, labda ni tuzo, na kama ni tuzo, hawo waandaji wapo wapi, na ni akina nani, na masharti au vigezoo vya hizoo tuzo ni vipi
Tuelewe kuwa nyanja hii ya mawasiliano imegubikwa na sintofahamu nyingi, wapo ambao kila kukicha wanabuni mbinu za kupata kwa kutumia migongo ya watu.
Hatuna uhakika na hili, kama lipo na watu wana nia njema, waweke wazi, sio mbaya mkawajali wanablog...cha msingi mjue kuwa wengi wa wanablog ni wapiganaji kwa ajili ya manufaa ya jamii, sio kwa ajili ya biashara au zawadi, kama zipo tutashukuru, sio mbaya.emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-39379251491627157372011-05-16T13:05:42.979-04:002011-05-16T13:05:42.979-04:00Huyu jamaa wa tuzo ya blogs naona ametoa majibu me...Huyu jamaa wa tuzo ya blogs naona ametoa majibu mepesi sana. Kila mtu katika dunia hii anao uhuru wa kufanya kile apendacho. Kwahiyo ninachotaka kusema hapa ni kwamba si kazi yake kukosoa watu kuwa wanafuata mkumbo. Kwa jinsi alivyojibu inaonesha kwamba yeye tayari alishapanga matokeo mezani.

Kati ya blogs zilizokwisha orodheshwa hadi sasa bado sijaona blogu zilizoenda shule kama vile . WAVUTI, MATONDO, CHAHALI, MHANGO, MUBELWA, MBELE, KITURURU, CHACHA WAMBURA, MAISHA, MWAIPOPO, HADUBINI, DAIRY YANGU na blogu zinginezo nyingi.malkiory matiyahttp://www.malkiory.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-42348808925249827252011-05-16T12:31:36.464-04:002011-05-16T12:31:36.464-04:00http://mtayarishaji.blogspot.com/2011/05/majibu-ya...http://mtayarishaji.blogspot.com/2011/05/majibu-ya-mmiliki-wa-tuzo-za-blog.htmlAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/00626584051542002466noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8951285990647982277.post-61901271941753239552011-05-16T06:54:00.080-04:002011-05-16T06:54:00.080-04:00http://kamalaluta.blogspot.com/2011/05/wanaotoa-tu...http://kamalaluta.blogspot.com/2011/05/wanaotoa-tunzo-za-bloggers-na-watoe-kwa.htmlkamala Lutatinisibwa Lutabasibwahttps://www.blogger.com/profile/06207381893940710959noreply@blogger.com