"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self."
Cyril Connolly (1903 - 1974)
Saturday, August 15, 2009
FFU wa Ngoma Africa katika Makamuzi ya hatari! AFRILU Festival!
FFU wa Ngoma Africa band! wakiwa katika makamuzi ya hatari hatari! kwenye onyesho la AFRILU Festival mijin Ludwigshafen,Ujerumani, ambako onyesho hilo la ijumaa ,liliwatia kiwewe washabiki na kukubali kuwa "Bongo Dansi" la FFU wa Ngoma Africa ni virungu vya kimataifa Wasikilize hapa http://www.myspace.com/thengomaafrica
No comments:
Post a Comment