Sunday, August 2, 2009

Give Thanks and Praises....THANK YOU LORD by Rebecca Malope

Asante ya wimbo imwendee "fundi mitambo" Da Subi

JUMAPILI NJEMA

7 comments:

  1. Ahsante sana kwako pia kwa midundo motomoto.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa matashi mema ya Jumapili. Nimependa sala na picha hiyo.Nawe uwe na Jumapili njema

    ReplyDelete
  3. Nami nakutakia J2 njema wewe na familia yako.Amina.

    ReplyDelete
  4. Umeweka picha yako ya zamani au ni mdogo wako :-)

    ReplyDelete
  5. Asanteni waungwana.
    Chib. Ninaelekwa kukumbuka siku yangu ya kuzaliwa. Kwa hiyo katika kusakasaka kumbukumbu nikakutana na picha zangu za muongo na zaidi. Nikaamua kuikumbuka hiyo.
    Huyo ni mimi miaka kama 13 iliyopita. Lol
    Asante kwa uchunguzi na asanteni nyote kwa kuwa nami barazani

    ReplyDelete
  6. kaka hapo ulinigusa sana nmpenda sana rebeka tuko pamoja

    ReplyDelete