Saturday, September 12, 2009

Happy Birthdate Baby Karen

Ni mwaka mwingine umekatika Karen na nashukuru Mungu kuwa unaweza kuiona tarehe kama ya mwanzo wa maisha yako. Miaka inakwenda na unazidi kukua. Nafurahia muda wooote tuliokuwa pamoja na naamini kuwa ulikuwa muda mzuri saaana kwetu sote. Na sasa unapoanza maisha ya uanafunzi, nakutakia masomo mema. Kumbuka hapo ulipo ndio msingi wa maisha yako yote na hakuna ubishi kuwa ukijenga vema msingi, basi uwezekano wa kuwa na mwendelezo mzuri usio na wasiwasi ni mkubwa.
Nakutakia kila la kheri na nakutakia maisha mema.
Wacha nikukumbushe baadhi ya taswira mbalimbali ninazozipenda tangu enzi zileeeeeeeeeeee!!! Unazikumbuka?
Luv and Miss you soooo much
Kisha ntakuacha na nyimbo mbili. Sweep Over My Soul ni chaguo langu (kwa kuwa najua unaipenda) na Amen ni chaguo lako wewe mwenyewe. Mama na Mwana Hahahahaaaaaaaaa. Look at you K Shenandoah Valley Virginia. Do you Remember???
Yes!. Space Shuttle Enterprise. Did you watch Space Shuttle Discovery landing last night? I hope you did.
Keep it Up. You'll make it
HAPPY BIRTHDATE K

4 comments:

  1. Happy birthdate K. nimezipenda picha zako nzuri. Nakutakia siku hii ya leo iwe nzuri na pia nakutakia kila la kheri uendelee kukua na kuma mwanadada mzuri zaidi na nakutakia masomo mema.

    ReplyDelete
  2. aaaaaaaaaw she is full of adventure!!!! and she is so beautiful!!!! Happy BirthDAY girl!! xx...hehe

    ReplyDelete
  3. happy birthday sweetie,........you are all grown up now, beautiful, smart and i wish you all the best in your studies... .... enjoy your birthday.......love you sweetie

    ReplyDelete
  4. sisemi chochote, naogopa saana kunukuliwa hapa!!!!!!

    nagila ekyo nabona.

    ReplyDelete