Jamani!! Msimu wa ukulima umeanza tena. Na sasa mazao yake ni muhimu na yanahitaji utunzaji wa hali ya juu.
Nahitaji kurejea tena shamba na nitakuwa naonekana hapa japo "ado ado"
Nawapenda nyote na nashukuru kuwa tuko pamoja
Safari hii ntarejea na maparachichi na magimbi na ndizi bukoba na ........
Tuonane tuonanapo.
Blessings
Hii picha umeweka hapa makusudikally, si neno lakini inauma kula kupitia skrini.
ReplyDeletelol! Mihogo hiyooooooo...they look so tasty. Anyway see you whenever we can see you!
ReplyDeleteNakubaliana na waliotangulia Da Subi na D Candy! ni kweli umeiweka hii picha makusudi ili tutamani kutafuna hiyo mihogo jamani watu. Hata hivyo ahsante kwa kumbukumbu na tutaonana hapo tutakapoonana. Kuwa na muda mzuri.
ReplyDeleteekiliibwa kya lushalila, kaitampunu anga rushuula?
ReplyDeleteKila la heri Kaka Mubelwa.
ReplyDeleteMi staki ndizi bukoba. Niletee tu kamgomba kadogo tu ka ndizi bukoba nami nikapande.
naunga mkono hoja, fikiria futari ya mihogo halafu ndo naichek kwa skrini, ni kaaaz kweli kweli,
ReplyDeletetuonane tuonanapo kwa heri yake jalali
pamoJAH!
Duh Muhogo Kibonge kweli huo!
ReplyDeletehuo muhogo na ramadhani hii!!! we acha tu
ReplyDelete