“Is it the bodyguards around you? Is it the high walls where you live? Or is it the men with the guns surround you twenty four hours a day
that makes you ignore the crying of the people?" Lucky Dube
"LOOK AT THE SCHOOLS WHERE THE YOUTHS ARE GOING TO GET EDUCATION, DO YOU SEE ANYTHING TO SMILE ABOUT?" Morgan Heritage
Leo ni nukuu tu. Sina maelezo wala muziki. Ni mchanyato wa taswira toka blogs mbalimbali
Plus
Plus
Mkuu yaani hapo kama vile haitoshi. Ongezea magari ya kifahari V8 Toyota Landcruisers,Majumba waliyojikopesha wenyewe,Posho za safari na vikao visivyokuwa na tija.n.k n.k(Nimechoka Kufikiri)
ReplyDeletemwishowe sote tunaishi
ReplyDeleteInasikitisha sana. polepole ni mwendo. Tukaze roho tu.
ReplyDeleteMimi ningekuwa ndie mwalimu ninayefundisha ktk mazingira yale ningegoma ili kuwatetea wanafunzi yani kama shinikizo fulani kwa serikali,(picha ya wanafunzi waliokaa kwenye mawe huku wanakula lecture) mazingira gani haya? Hata mwanafunzi hawawezi kuzingatia masomo kabisa! Sina hakika pia na mapango wanayotoka walimu wa shule hiyo.
ReplyDelete