aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaw finally!!!!!! Look at her!!!! just so so so so cute!..lol u knew I would freak out a bit but in a good way bro...lol...sijui niseme happy birthday to the little one ama vipi but most important of all, CONGRATULATIONS!!!!! God Bless you all!!
MUBELWA! SASA INABIDI TUKUITE BABA FULANI. HONGERENI SANA KWA KUWA WAZAZI. NI KWELI SASA UMEKUWA. MUNGU AWAJALIE AFYA NJEMA MTOTO, BABA NA BILA KUMSAHAU MAMA.
du, ukioa wanasae umeongeza matatizo na sasa ukizaa ni matatizo zaid na zaidi.
asikudanganye mtu kuzaa ni hatua muhimmu sana ila kumbuka humiliki mtoto bali kapitia kwako kuja duniani na ana karma zake na ndoto zake na sababu za kuja kwake na lengo lake kwa hiyo kazzi yako ni kumlea basi na sio kumchagulia maisha au sio!!
Wow!natamani unipe na mimi nikapakate,kama alivyosema Candy so so cute,hongereni sana mama na baba......?karibu sana duniani uwe katoto kasikivu,sawa shangazi eeh!
Asanteni kwa mara ya tena. Da Mija. Kama ningekuwa smart nikaweka maelezo, basi yasingetofautiana na yale ya kwenye post yako ya July 13, 2008. Na huyu ni Mwanamke wa shoka mtarajiwa. Blessings
Daaaa, nimechelewa saaana kutoa hongera zangu lakini si vibaya nami hata kwa kuchelewa niwambie hongereni sana tena sana Kaka Mubelwa na mama watoto wako. Mungu awe nanyi daima na awabariki sana.
hi jamani kaka mzima am so happy kwa kumuona binamu yangu lol ha ha ha safi sana ila hujatuambia jina bwana na vipi wifi mzima wasalimie wote nawatakia wote watatu maisha mazuri mafanikio plz mlee binamu yetu katika maadili i know you kaka na ninaamini atafuata nyayo zako SASA UMEKUWA BABA WAJIBIKA IPASAVYO.
Ngoja mimi nianze - tena kwa maneno matatu tu - HONGERA! SASA UMEKUA.
ReplyDeleteHongera kwa ujio mpya!
ReplyDeleteMungu akujalieni heri na afya njema!
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaw finally!!!!!! Look at her!!!! just so so so so cute!..lol u knew I would freak out a bit but in a good way bro...lol...sijui niseme happy birthday to the little one ama vipi but most important of all, CONGRATULATIONS!!!!! God Bless you all!!
ReplyDeleteDah!!!
ReplyDeleteAsanteni saaana WAPENDWA.
MUBELWA! SASA INABIDI TUKUITE BABA FULANI. HONGERENI SANA KWA KUWA WAZAZI. NI KWELI SASA UMEKUWA. MUNGU AWAJALIE AFYA NJEMA MTOTO, BABA NA BILA KUMSAHAU MAMA.
ReplyDeleteMzee wa changamoto naomba unifumbulie changamoto hii maana sielewi. Natanguliza hongeza zangu anyway.
ReplyDeletedu, ukioa wanasae umeongeza matatizo na sasa ukizaa ni matatizo zaid na zaidi.
ReplyDeleteasikudanganye mtu kuzaa ni hatua muhimmu sana ila kumbuka humiliki mtoto bali kapitia kwako kuja duniani na ana karma zake na ndoto zake na sababu za kuja kwake na lengo lake kwa hiyo kazzi yako ni kumlea basi na sio kumchagulia maisha au sio!!
Wow!natamani unipe na mimi nikapakate,kama alivyosema Candy so so cute,hongereni sana mama na baba......?karibu sana duniani uwe katoto kasikivu,sawa shangazi eeh!
ReplyDeleteAsanteni kwa mara ya tena. Da Mija. Kama ningekuwa smart nikaweka maelezo, basi yasingetofautiana na yale ya kwenye post yako ya July 13, 2008.
ReplyDeleteNa huyu ni Mwanamke wa shoka mtarajiwa.
Blessings
Wow kumbe kashangazi ni kadada "kachiki" safi sana nasema kama mmoja hapo natamni ningekuwa karibu nikupakate.
ReplyDeleteAbarikiwe, abarikiwe, abarikiwe mtoto huyu. Je anaenda kwa jina gani?
ReplyDeleteDaaaa, nimechelewa saaana kutoa hongera zangu lakini si vibaya nami hata kwa kuchelewa niwambie hongereni sana tena sana Kaka Mubelwa na mama watoto wako.
ReplyDeleteMungu awe nanyi daima na awabariki sana.
Hongera sana Mkuu!
ReplyDeletehi jamani kaka mzima am so happy kwa kumuona binamu yangu lol ha ha ha safi sana ila hujatuambia jina bwana na vipi wifi mzima wasalimie wote nawatakia wote watatu maisha mazuri mafanikio plz mlee binamu yetu katika maadili i know you kaka na ninaamini atafuata nyayo zako SASA UMEKUWA BABA WAJIBIKA IPASAVYO.
ReplyDeleteHongera sana ndugu yangu.Namtakia kijana makuzi mema
ReplyDelete