Saturday, November 28, 2009

EID MUBARAK

6 comments:

  1. Mmh, huku (UK) wamesherehekea Eid jana na most of the places then wengine wanasherehekea leo including Tanzania. Sielewi haya mambo ila how does it work out?..Just curious...

    ReplyDelete
  2. Just take as they come my dear. As long as they're not on your way then "keep on moving"
    Just remember that "if it's not broken, don't fix it"
    Ukipata day off Ijumaa then Good for you maana utakuwa umeunganisha na weekend.
    Hahahahaaaaa

    ReplyDelete
  3. Kaka nami ninakutakia Eid njema kila la kheri kwa lililo jema kwake Allah katika siku nzuri kama hii.

    ReplyDelete
  4. Kheri Eid. Hivi ni Id El Haji au Eid Mubarak? ni swali tu ambalo limefumuka kichwani mwangu.

    ReplyDelete
  5. Asante mzee wa changamoto sisi Eid yetu ilikua jana ijumaa alkini Bongo naona ni leo jumamosi sijui kwa nini, nawatakia wote Eid njema.

    ReplyDelete