
Ni kweli nimefungwa
Ni kweli nimetingwa
Ni kweli nina muda mchache wa kuwa nanyi
Lakini nawawaza na naamini muda si mrefu ntapata nafasi ya kujumuika nanyi kuleta CHANGAMOTO mbalimbali kwetu sote.
Kwa yale yaliyo katika mstari yataendelea kuonekana hapa na nitakapopata nafasi ntawapitia na kuwajuvya maendeleo na mtambue kuwa tuko PamoJAH
NAWAPENDA
amani kaka.
ReplyDeletenikutakie kila la heri kaka.
nuff nuff respect man.
Ndio maisha na naamini kabsa kuwa tupo pamoja. Kila la kheri na kila ufanyalo karibuni utafunguliwa.
ReplyDeleteMUNGU akutangamanishe na mema na akuepushie shari ONE LOVE
ReplyDeleterudi haraka wewe acha visingizio kwani nani hayuko bize. rudi fasta kabala sijakufuata huko mimi. shindwa
ReplyDeleteKaka, pamoja sana, kila la heri, Mungu akutangulie,akupe nguvu amani na upendo tele.
ReplyDeletemmh...hiyo kamba is very thick , nilikuwa nafikiria nizifungue ila i m not strong enough...but you are :-)
ReplyDelete