Friday, December 25, 2009

Heri ya Krismas kwenu nyote

Napenda kuwatakiwa wasomaji wote HERI YA KRISMAS na maandalizi mema ya kuanza mwaka mpya.
Nawapenda na kuwaheshimu saaaana

12 comments:

  1. Na wewe pia pamoja na familia yako. God bless ya! xx

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu,nami nakutakia Krismasi njema wewe pamoja na familia.

    ReplyDelete
  3. Wewe na Familia Yako Pia Mkuu!

    Heri ya Krismas!

    Namuheshimu sana Yesu katika shughulizake kwa Mungu kama Mohamedi kwa Allah!

    Tuko Pamoja!

    ReplyDelete
  4. NIKUTAKIE PIA WEWE NA FAMILIA YAKO X MASS NJEMA NA HERI YA MWAKA MPYA

    ReplyDelete
  5. GOD JUL= KHERI YA CHRISTMAS! KWAKO NA FAMILIA YAKO. Upendo utawala Daima katika ninyi,na pia maandalizi meme kwa mwaka ujao.

    ReplyDelete
  6. Mubelwa Bandio yenu na wageni. Ubunifu na ubunifu kutoka picha za Jose Ramon Merry Christmas

    ReplyDelete
  7. Heri na kwako pia, mungu azidi kukupa nguvu na baraka tele kwa mwaka ujao wa 2010.

    ReplyDelete
  8. Nakwako pia na familia yako kaka,mbarikiwe sana.

    ReplyDelete
  9. Nashukuru kaka, nami naitakia familia yako heri ya sikukuu ya Noeli na mwaka mpya wenye furaha, upendo, mafanikio na amani teeeeeeele.

    ReplyDelete
  10. Shukrani na wewe pia christmas njema, na twakutakia heri ya mwaka mpya

    ReplyDelete