"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self."
Cyril Connolly (1903 - 1974)
Wednesday, November 23, 2011
Burudani toka Afrika Mashariki
Kama inavyoonyesha hapa chini, ni usiku wa burudani ya kiAfrika Mashariki katika ukumbi wa RANDEZVOUS, uliopo 11910 PARKLAWN DR, ROCKVILLE,MARYLAND 20852 Wasanii Chameleon wa Uganda, AJ Ubao wa Tanzania na Kanja toka Kenya wanatarajiwa kuburudisha. Kwa maelezo zaidi wasiliana na DMK GLOBAL kupitia 301-661-6207
No comments:
Post a Comment