
Mwishoni mwa mwaka jana, nilibahatika kupata fursa fupi ya kuketi na kuhojiana na Katibu Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Nape Nnauye. Alikuwa nchini kwa ziara fupi ya kikazi na pia alikutana na wanachama wa matawi ya CCM hapa nchini

Tulijadili mambo machache tofauti kuhusu chama anachoongoza na migogoro iliyomo ndani mwake.
Karibu kusikiliza mahojiano yetu
hapa chini
No comments:
Post a Comment