![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAsOWrFEgtHFsTv37PRKc-srBh0ZW2ZY4KgH_JjEqenW2uRpsoPrj3hiZzqCN_vENwcBu07_47xbI4tnhyphenhyphencOMZxJgiROgq4dzXCmdtwa74Na48CJr6Bv7Xg1XlPH2GgAHtsXUsfErD2Ps/s400/Mwakasege%252BFlier.jpg)
JINSI KUFIKA KWENYE MKUTANO.
1. Kwa wanaotumia metrol rail toka popote pale, hakikisha unapanda GREEN line hadi
College Park Metro Station, kisha panda METRO BUSES (Route number F6 na
C8) yatakupitisha hadi ukumbini. Shukia kituo cha LIBRARY.
2. Kwa wote wanaotokea maeneo ya Greenbelt, tumia Metro bus (Route number C2 na R3) ushukie LIBRARY.
Pia kwa wote wanaotokea West Hyattsville tumia Metro bus (Routes F6 na F8).
3. Watu wanaotokea Langley Park Takoma tumia bus C2 na wanaotokea White Oak panda
Metro bus C8 hadi University of Maryland, kituo ni Library.
Muda wa kufika kwa wote ni saa 11jioni, Mungu awabariki sana.
No comments:
Post a Comment