"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self."
Cyril Connolly (1903 - 1974)
Saturday, March 7, 2015
Video za maswali na majibu za mkutano wa Mhe. Jussa Washington DC
Kwa hisani ya SwahiliVilla Blog Muwakilishi wa Jimbo la Stone, Town, Zanzibar Mhe. Ismail Jussa kupitia chama cha wanainchi CUF ambae pia mjumbe wa UKAWA aliweza kuongea na waTanzania waishio. (DMV) na kumuuliza maswali mbali mbali kuhusu mustakabali wa nchi yetu, Siku ya Jumamosi Feb 28, 2015.
No comments:
Post a Comment