Kwa mara ya kwanza, show ya aina yake kushirikisha ndugu wawili, Ali na Abdul Kiba itafanyika Washington DMV Jumamosi hii ya Juni 6, 2015
Mahala ni Fire Station 1
Anwani ni
8131 Georgia Ave
Silver Spring. MD 20910
VIP packages bado zinapatikana na maegesho ni buuuureeeee
No comments:
Post a Comment