Saturday, April 17, 2021

255 Info Package ya Kwanza Radio EP05 Aprili 12, 2021

Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava. Leo atasikika mkongwe Adili Chapakazi, wasanii G-Nako, Hamadai, Iddo the Gold na Moni Centrozone Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki. Kwanza Radio itapatikana punde online saa 24 kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com Kwa sasa tusikilize kupitia 
Radio Garden 
 OnlineRadio Box 
TuneIn 

No comments:

Post a Comment