Sunday, July 5, 2009

Mkaribishe Ndg Sabato E Tarimo

Mwonekano wa Blogu ta TaCHe
Naomba kufahamisha blogu mpya yenye kugusa zaidi maisha na mienendo ya watu. Baadhi ya watu watakuwa wamemsoma Mhandisi na Mwelimishaji ndugu Sabato E. Tarimo katika gazeti la MsemaKweli kwenye makala zake mbalimbali. Sasa amejikita katika ulimwengu wa blogu ili kuwafikia wengi zaidi hasa wale wanaoishi nje ya Tanzania.
Jina la Blogu ni http://www.tanzaniachristianheritage.blogspot.com/
Makala alizoandika hadi sasa na zinazotia changamoto ni zile zinazohusu URITHI na MAVAZI kama vile:
URITHI: Mahakama ya kufungulia mirathi
URITHI: Urithi kwa watu wasio na undugu na marehemu
URITHI: Kumnyima mtu haki ya urithi
URITHI: Umuhimu wa wosia
URITHI: Je, urithi ni haki au ni fadhila?
URITHI: Biblia inasema nini kuhusu watoto wa kambo?
URITHI: Biblia inasema nini kuhusu watoto wa kambo?
URITHI: Sheria za mirathi
URITHI: Kwanini mzaliwa wa kwanza alipendelewa?
URITHI: Ni wakati gani wa kurithisha au kurithi?
URITHI: Ni wakati gani wa kurithisha au kurithi?
URITHI: Nani anastahili kurithi?
URITHI: Kiini cha makala
Ni vitu gani sisi wanadamu tunavyoweza kurithishana?
URITHI: HAKI NA WAJIBU WAKO
pamoja na
MKRISTO NA MAVAZI: Mavazi yasiyofaa ni yepi?
MKRISTO NA MAVAZI: Mavazi yatamanishayo ni tishio kwa kanisa
MKRISTO NA MAVAZI: Dhambi ya Bath-sheba
MKRISTO NA MAVAZI: Makanisa ya kimadhehebu yamepotoka
MKRISTO NA MAVAZI: Eti Mungu anaangalia moyo tu?
MKRISTO NA MAVAZI: Mavazi yasiyofaa
Tafadhali unaombwa kukosoa na kuchangia maoni yako.

Asante Da Subi kwa Taarifa hii

No comments:

Post a Comment