"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self."
Cyril Connolly (1903 - 1974)
Tuesday, September 1, 2009
Kwani wewe unaona nini?
Image from This14U Blog Kama wewe ni binadamu basi una sura ifananayo na hii. Na kama unaona nionacho mimi, basi huwezi jiuliza mara mbili KWANINI WAKATI MWINGINE SIKUAMINI? Ni kwa kuwa "ninasoma sura yako"
Ukiangalia taswira hii unasoma nini / neno gani usoni mwake?
Nuktaaaa.. duh!! Hutupi nukta ya kuwaza? Asante. Da Yasinta. Wewe wangu na najua ulichoona Kaka Chib. Hapo usoni nilidhani kuna majonzi na majuto, kumbe kuna na neno. Na pengine ukilisoma unaweza kujiuliza kama hiyo taswira ina majonzi na majuto. Lol. Mwanajamvi SARP (jamani huyu namkaribisha toka kuleee www.angaliabongo.co.tz). Karibu saaana ndugu yangu. Ni faraja kuwa nawe na kama kawaida yetu, PAMOJA DAIMA. Kaka Fadhy, mkuu sina hakika kama wewe ni mwongo kusema unafanana na mimi ama mimi ndiye muongo kudhani kuwa unaongopa kusema unafanana na mimi. Lol Da'Mdogo C. Hivi hujioni kuwa unatenda kilichonenwa hapo? Umeshaona neno liar kisha unataka kutudanganya kuwa ulisoma na bado hukuona. Lol Hauko peke yako. Ona mwenzako nilivyotaabika mpaka nikatishiwa bakora na Da Subi hapa (http://bwaya.blogspot.com/2009/03/unaona-nini-kwenye-picha-hii.html) Ilinisumbuaaaaaaaa!!!!!!!!!!!! Hivi ni nani aliye liar? Labda "the way you see the problem..........
Liar
ReplyDeleteLia
ReplyDeleteMajonzi na majuto
ReplyDeleteHapana kwakweli..thio mimi hapa!
ReplyDeleteKaka umenifikirisha sana. Unasoma neno "Liar"
ReplyDeleteUlichonifikirisha, je mi ni mwongo kusema nafanana naye?
Nice illusion maana I didnt get it...lol..then i looked at other people's...bado i didnt get it but now I do...lol
ReplyDeleteNuktaaaa.. duh!! Hutupi nukta ya kuwaza? Asante. Da Yasinta. Wewe wangu na najua ulichoona Kaka Chib. Hapo usoni nilidhani kuna majonzi na majuto, kumbe kuna na neno. Na pengine ukilisoma unaweza kujiuliza kama hiyo taswira ina majonzi na majuto. Lol.
ReplyDeleteMwanajamvi SARP (jamani huyu namkaribisha toka kuleee www.angaliabongo.co.tz). Karibu saaana ndugu yangu. Ni faraja kuwa nawe na kama kawaida yetu, PAMOJA DAIMA. Kaka Fadhy, mkuu sina hakika kama wewe ni mwongo kusema unafanana na mimi ama mimi ndiye muongo kudhani kuwa unaongopa kusema unafanana na mimi. Lol
Da'Mdogo C. Hivi hujioni kuwa unatenda kilichonenwa hapo? Umeshaona neno liar kisha unataka kutudanganya kuwa ulisoma na bado hukuona. Lol
Hauko peke yako. Ona mwenzako nilivyotaabika mpaka nikatishiwa bakora na Da Subi hapa (http://bwaya.blogspot.com/2009/03/unaona-nini-kwenye-picha-hii.html)
Ilinisumbuaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Hivi ni nani aliye liar? Labda "the way you see the problem..........
naona sura ya kimwana wa dsm
ReplyDeletemmh...liar
ReplyDelete