Wednesday, September 17, 2008

Hongera sana Kaka Gotha

Gotha Irie na mkewe wakitoka kanisani kukamilisha ahadi ya ndoa

Ni jambo la busara saana kukuona Kaka Gotha unakamilisha moja kati ya malengo makuu maishani. Kuwa na familia. Naamini Almighty atakuwa nanyi katika kila njia mpitayo katika maisha myaanzayo rasmi. Nikukumbushe tu ka-verse kake Jephter McClymont "Luciano" aliposema "trade winds will keep on blowing, my life keeps on going and Jah's Love will keep on flowing and I'll never give up my pride"
Kwa niaba ya askari wote wema wa Rggae nakutakia kila lililo jema katika maisha yenu.
Blessings to you and your Empress.

No comments: