Monday, April 19, 2021

255 Info Package ya Kwanza Radio EP06 Aprili 19, 2021

Karibu kwenye show kabambe yenye muziki na habari mbalimbali za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava. Leo atasikika mkongwe Adili Chapakazi, wasanii G-Nako, Hamadai, Iddo the Gold na Moni Centrozone Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki. Kwanza Radio itapatikana punde online saa 24 kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com Kwa sasa tusikilize kupitia Radio Garden radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Box onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza TuneIn tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/

Sunday, April 18, 2021

AFRO KWANZA ya Kwanza Radio EP06 Aprili 17, 2021

Karibu kwenye show ya muziki wa kiAfrika ikiandaliwa na Mussa Yusuph.Leo utapata habari zaidi juu ya wasanii Oliver Ngoma, Tshala Mauna na Awilo Longomba. Kipindi hiki hukujia kila Jumamosi kuanzia saa kumi kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki. Tutakujia punde kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com Kwa sasa unaweza kusikiliza radio kupitia Radio Garden http://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Box https://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza TuneIn https://tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/ Kama umekikosa, basi punde baada ya kupindi, bofya https://soundcloud.com/kwanzaproduction/afro-kwanza-ya-kwanza-radio-ep06-aprili-17-2021 https://soundcloud.com/kwanzaproduction/afrokwanza-ep05  

Saturday, April 17, 2021

DONDOO NA REGGAE ya Kwanza Radio. Kazi za Lucky Dube

Jambo ambalo bado nawaza kuhusu Lucky Dube ni uwezo wake wa kuwaza kitu ambacho kipo, na ambacho kingeweza kutendeka kwa namna fulani lakini hakikutendeka hivyo japo kinaleta maana halisi ya fikra ya kutendeka kwake. 
Yaani alikuwa na uwezo mkubwa saana wa KUSADIKI habari ama tukio ama maisha halisi kwa namna ambavyo yanaweza KUSADIKIKA. 
Alieleza, kuuliza ama kufafanua utata ama fumbo ama mwenendo fulani wa maisha kwa namna ya kipekee. 
Tunaweza kuangalia baadhi ya nyimbo kuwaza kwa pamoja kuwa ALIWAZA NINI?? 

Tutakujia punde kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com 
Kwa sasa unaweza kusikiliza radio kupitia 
Radio Garden 
OnlineRadio Box 

255 Info Package ya Kwanza Radio EP05 Aprili 12, 2021

Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava. Leo atasikika mkongwe Adili Chapakazi, wasanii G-Nako, Hamadai, Iddo the Gold na Moni Centrozone Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki. Kwanza Radio itapatikana punde online saa 24 kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com Kwa sasa tusikilize kupitia 
Radio Garden 
 OnlineRadio Box 
TuneIn 

AFRO KWANZA ya Kwanza Radio EP 05 April 10, 2021

Reggae Time ya Kwanza Radio.. Rastafarianism

Amani, Upendo na Heshima kwako msikilizaji wa Kwanza Radio. Karibu katika kipindi hiki cha Reggae Time, kinachokujia kutoka hapa Kilimanjaro Studios. Na leo, tunagusia mambo kadhaa ambayo ni vema kuyajua kuhusu maRasta. Watu wengi wanaposikia neno RASTAFARI, wanaelekeza fikra zao kwa watu wenye rasta ama dreadlocks, kwa uvutaji wa bangi, kwenye muziki wa Reggae na kadhalika. Lakini, kwa hakika uRasta ni falsafa makini ambayo huchukua mwelekeo mkubwa wa kiImani. Japokuwa wapo wengi ambao hufuata ama kujiita maRasta ili kupata mwanya wa kufanya baadhi ya mambo maovu, ukweli unabaki palepale kuwa wapo wafuasi wazuri wa imani ya uRasta, ambao jamii isiyowajua vema, inawachukulia visivyo. Mubelwa Bandio anakusihi uwe naye pamoja mpaka mwisho. Wewe msikilizaji unaweza kushiriki kwa kutuma ujumbe ama maoni yako kwenye mitandao yetu ya kijamii. Tufuatilie kwenye Facebook, Instagram, Twitter na Soundcloud. Tafuta Kwanza Production.

255 Info Package ya Kwanza Radio EP04 Aprili 4, 2021

Karibu kwenye show kabambe yenye muziki na habari mbalimbali za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava. Leo atasikika mkongwe Adili Chapakazi, wasanii G-Nako, Hamadai, Iddo the Gold na Moni Centrozone Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki. Kwanza Radio inapatikana online saa 24. Tusikilize kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com Pia unaweza kusikiliza radio kupitia Radio Garden http://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Box https://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza TuneIn https://tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/

AFRO KWANZA ya Kwanza Radio EP 04 April 3, 2021

Karibu kwenye show ya muziki wa kiAfrika ikiandaliwa na Mussa Yusuph kutoka Mtwara Tanzania. Kipindi hiki hukujia kila Jumamosi kuanzia saa kumi kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki. Tusikilize kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com Pia unaweza kusikiliza radio kupitia Radio Garden http://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Box https://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza TuneIn https://tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/

Reggae Time ya Kwanza Radio. Historia ya muziki wa Reggae

Muziki wa reggae ni mahadhi ambayo ni matokeo ya kutambulika na kuendelezwa kwa aina ama mitindo mingine ya muziki. Licha ya kwamba reggae inatambulika zaidi kutoka katika miziki ya Carribean yenye asili ya Afrika na miziki ya R&B toka Marekani, lakini reggae tunayoisikia sasa ni muendelezo wa midundo ya Rocksteady na Ska kuanzia miaka ya 1960 huko Jamaica. Katika miaka ya 1950, enzi ambazo wakazi wa visiwa vya Carribean walikuwa wapenzi wakubwa wa miondoko ya Calypso na wakati ambao waMarekani walikuwa akipenda zaidi miziki ya wasanii kama Harry Belafonte, wananchi wengi wa Jamaica walikuwa wakisikiliza zaidi miziki ya Rhythm and Blues (R&B) za kiMarekani. Miziki hiyo ilikuwa ikisikika zaidi kutoka miji ya Memphis, New Orleans na Miami na kuwa maarufu sana nchini Jamaica. Wanamuziki wa Jamaica wakachanganya miondoko hiyo ya R&B na miondoko ya Calypso ya Jamaika na kutengeneza muziki mpya wa SKA.

Tuesday, March 30, 2021

255 Info Package ya Kwanza Radio EP3 Machi 29, 2021

Karibu kwenye show kabambe yenye muziki na habari mbalimbali za muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Mr Presenter anakupitisha kwenye taarifa mbalimbali za kimuziki ikiwemo mgodi wenye habari mbalimbali za muziki na wanamuziki wa Bongo Flava. Ni kila Jumatatu saa kumi kamili kwa saa za Afrika Mashariki, na marudio ni saa kumi kamili kwa saa za Marekani ya Mashariki. Tusikilize kupitia tovuti yetu www.kwanzaproduction.com Pia unaweza kusikiliza radio kupitia Radio Garden http://radio.garden/listen/kwanza-radio/ZUtbxgBv OnlineRadio Box https://onlineradiobox.com/us/kwanza/?cs=us.kwanza TuneIn https://tunein.com/radio/Kwanza-Radio-s290047/