Showing posts with label TzA. Show all posts
Showing posts with label TzA. Show all posts
Monday, March 22, 2021
Tanzanian Abroad (TzA) EP 3: Mahojiano na David Mrema
Katika Tanzania Abroad wiki hii nazungumza na David Mrema. Muasisi wa Pamoja We Can Harambee USA.
Shirika ambalo linasaidia wanachama wake kupata hela za kukimu gharama za mazishi. Wanachama waliokidhi vigezo hupatiwa dola 15,000 za kimarekani ndani ya saa 24 hadi 72 tangu taarifa kuwasilishwa kwa uongozi.Mrema anaeleza mengi kuhusu PHU
Tanzanian Abroad (TzA) Ep 2. Samuel Malonja
Samuel Malonja ni mzalishaji wa muziki wa muda mrefu amable amezalisha kazi zilizotumiwa na wasanii wengi maarufu nchini TanzaniaNa pia ni mzalishaji wa videos za matukio ama mahitaji mbalimbali.Mali na halo mawili, Sam pia (kupitia kampuni yak ya SamsPRO (www.samsprodstudio.com) anajishughulisha na masala ya picha.Amekuwa mkarimu sana kuketi nami kuzungumzia miasma take kikazi na namna ambavyo hata akiwa hapa Marekani, anarejesha huduma kwa namna tofauti nchini TanzaniaNi katika TzA ya Kwanza Productions
Tanzanian Abroad (TzA) EP 1. Mtumishi Angel Benard
Angel Benard anafahamika kwa wengi kama mtumishi wa Mungu kwa njia ya nyimbo. Lakini yeye ni Mchungaji na pia ana mengi anayofanya katika utumishi wake.
Mbali na huduma hii, Mtumishi Angel Benard anajihusisha na mambo mbalimbali katika jamii.
Subscribe to:
Posts (Atom)