Monday, March 22, 2021
Tanzanian Abroad (TzA) EP 3: Mahojiano na David Mrema
Katika Tanzania Abroad wiki hii nazungumza na David Mrema. Muasisi wa Pamoja We Can Harambee USA.
Shirika ambalo linasaidia wanachama wake kupata hela za kukimu gharama za mazishi. Wanachama waliokidhi vigezo hupatiwa dola 15,000 za kimarekani ndani ya saa 24 hadi 72 tangu taarifa kuwasilishwa kwa uongozi.Mrema anaeleza mengi kuhusu PHU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment