Napenda kuwatakia EID NJEMA wale wote washerehekeao siku ya leo. Ule Upendo, Heshima na Thamani tufundishwayo baina yetu iendelee kuwa nguzo muhimu kwa jamii nzima na tuendelee kuishi kwa umoja, ushikamano na ushirikiano.EID MUBARAK
"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self." Cyril Connolly (1903 - 1974)
This is a modal window.
Beginning of dialog window. Escape will cancel and close the window.
End of dialog window.
Kwanza Radio
2 comments:
Nawatakia pia Id mubarak njema kwa wote.
Kaka Mubelwa, napenda kuungana na da Yasinta kukutakia Eid njema, yenye furaha na amani.
Pia nawatakia wanablog wote na wasomaji wetu wote heri ya sikukuu ya Eid.
Mungu awabariki sana.
Post a Comment