Sunday, March 1, 2009

Give Thanks and Praises. I'll live again by Beres Hammond

Amani, Heshima na Upendo kwenu nyote.
Natumai nyote ni wema na mnaendelea kumalizia weekend vyema na salama.
Katika siku ya leo ninaomba nikuburudishe kwa kibao hiki mwanana kisemacho I'LL LIVE AGAIN. Kwa imani twatambua juu maisha baada ya haya ya kwanza na naungana na Beres Hammond katika kujipanga katika hili. Ukimsikiliza kwa makini utatambua yale asemayo yana maana haijalishi rangi, asili wala imani.
Enjoy
Jumapili njema

6 comments:

Ivo Serenthà said...

Thank you and visit, you are very kind, the travel blog seeks to inform the news among the most curious and interesting, congratulations to your own space, I am sure that it will continue always to the fullest.

Besides music videos, it's ok even music.

Marlow

Yasinta Ngonyani said...

jumapili njema pia. Ahsante kwa kipande hiki cha mziki

Yasinta Ngonyani said...

jumapili njema pia. Ahsante kwa kipande hiki cha mziki

Christian Bwaya said...

Asante sana Mubelwa kwa I'll live again.

Simon Kitururu said...

Asante kwa kibao Mwanana! But I hope we will die once !:-(

Mzee wa Changamoto said...

We Simon wewe... Unakufa once ili uishi "once again". Kwa hiyo kwa kila once ufayo, utaishi again nyingine.
Unaipata falsafa yake hapo?