Tuesday, March 31, 2009

Serengeti - The beauty of Tanzania

Nimeinyaka hii kwa Da Subi na nimeona ni wajibu wangu kuibandika hapa pia

1 comment:

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Nilikuwa sijaiona hii. Nchi yetu imejaliwa kwa kila kitu. Tunachotakiwa kufanya ni kuhakikisha kwamba baraka hizi zinawanufaisha walio wengi na si wachache tu. Na nadhani harakati zimeshaanza na pepo za mwamko zimeshaanza kuvuma na baada ya usingizi mrefu hatimaye kunguku limeanza kutoweka na dalili za asubuhi njema zimeanza kuonekana. Hata waliokuwa wanajiona ni wamiliki wa hizi baraka sasa wanajua kwamba "gemu" limeanza kubadilika...Naamini kwamba watajishabihisha (adapt) na kwa hali hiyo safari bado ni ndefu na ngumu. Lakini kwa vile hatua zimeshaanza kupigwa, bila shaka tutafika kwani Historia ndivyo inavyotuambia na kutufunza.