Friday, March 13, 2009

Them, I & Them. CULTURE............Coming Down

Ulimwengu umegeuka kuelekea kule ambako wengi wanatenda yale ambayo hawapendi kutenda ili tu kuweza kuuridhisha upande fulani ama nafsi zao. Na wapo wale ambao wanatenda mengine kwa kuiga bila ya kujua kuwa wanapoteza uasilia na u-wao kwa kutaka kuonekana kama wamestaarabika, wameelimika ama wameerevuka.
Na ndiyo anayozungumza hapa Joseph Culture Hill ambaye katika wimbo huu COMING DOWN akiwa na kundi lake la Culture wanaeleza mengi yanayokwenda kombo kwa kuwa tu fulani kataka kumridhisha fulani ama kataka kuwa kama fulani ama kataka kitu fulani.
Culture wanaimba juu ya mateso wanayopata wananchi kwa bajenti inayosomeka vizuri lakini haisaidii maisha ya wananchi. Culture anaeleza jinsi wanasiasa wanavyodanganya ilhali maskini wanajiuliza kulikoni, anaeleza namna viongozi wanavyoishi maisha ya aibu na kufedhehesha na kuligawa taifa, anaeleza mengi ya maana ambayo "yanazidi kuporomoka" bila wenye kustahili kujua kutambua hilo.
Msikie anavyozungumzia mengi katika wimbo huu COMING DOWN uliotoka katika albamu ya 24 na ya mwisho kwa Joseph Hill kutoa iliyoitwa WORLD PEACE kabla hajafariki ghafla alipokuwa kwenye ziara ya kimuziki huko Ujerumani

It's coming down, down down. It's coming down
Sufferation on our back is coming down
When this budget starts to read and the people can't succeed.

Sufferation on our back is coming down.

Lord, It's coming down, down down, it's coming down.
Botheration in our life is coming down.
When the man them start to fight and the youth them start get white

Botheration in our life is coming down.


It's coming down down down, it's coming down,

Tribulation in our life is coming down

When the leaders start to lie and the poor they wonder why

Tribulation in our life is coming down


IT'S A COME


It's coming down down down, it's coming down

Botheration in our life is coming down
When them live pon shame and pride and the nation start divide

Botheration in our life is coming down

It's coming down down down, it's coming down
Sufferation on our back is coming down
When the leaders starts to grab and the poor man him no glad
Botheration in our life is coming down

It's coming down down down, it's coming down

Long sentence on our life is coming down

For the judge man have no justice and every man a go a prison

Long sentence on them life is coming down Lord!

It's coming down down down, it's coming down

Tribulation on our life is coming down
Ca when the budget start to read, and the people can't succeed
Sufferation on our back is coming down

Lord! It's coming down down down, it's coming down
Sufferation in our life is coming down

For when you're looking for a wife, and all you see it is sketel
Tribulation in our life is coming down
Lord!

It's coming down down down, it's coming down

Tribulation in our life is coming down

**Them, I & Them ni kipengele kikujiacho kila Ijumaa kinachoelezea kazi za wasanii (Them) kulingana na maono yangu (I) kwa ajili na manufaa ya hadhira (Them)**
Kwa nyimbo zaidi ndani ya kipengele hiki bofya hapa.
IJUMAA NJEMA

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Asante sana kwa kuliweka hili jambo uwanjani. Nakubali ni kweli kuna hayo mambo na pia hii yote inatokana na watu kutotaka fulani asiendelee. Watu hawataki maendeleo hii ndio sababu kila kitu IS COMING DOWN. Nimependa sana kipende hiki kizuri cha muziki na pia maneno yake.IJAMAA NJEMA NAWE PIA.

私のブログ (My Blog) said...

hello... thanks infromation

Subi Nukta said...

Sijui kama kuna nyimbo za Culture nisizozipenda, nadhani ni kutokana na mawaidha na sauti yake mwenyewe. Ujumbe wa nyimbo ni kitu muhimu sana! Asante kwa kuburudisha. Ijumaa njema!

Anonymous said...

thanks for leaving a comment in my blog. I'm glad you like it :) so, you live in US, eh? i wonder if i could go there.. but it'll take a lotta of money.. and i don't have any :) ahahah.. hope we ud be a good friend :)

nyahbingi worrior. said...

nuff nuff respect man.