Friday, April 24, 2009

Them, I & Them.. CULTURE......World Peace

Kuna wasemao kuwa mwezi Mei ni mwezi wa Amani japo kwangu mwezi wa amani ni mwezi unaoishi. Namaanisha kuwa naamini katika amani na naamini ni haki ya kila mmoja kuishi kwa amani. Najiuliza kama amani ya kweli inaweza kupatikana kama wanaopiga kelele za kuacha vita ndio wanaotengeneza silaha na ndio wasiozitumia. Ina maana hazina madhara ya awali kwao maana hazitumiki kwao. Na Je!! Tunapopigana na kutofanya kazi ni nani anayetuuzia chakula? Kumbe mwenye kuuza silaha na chakula ana biashara nzuri? Mmhhhh
Kwenye siku hii ya AMANI (kama zilivyo siku zote) napenda kuungana na marehemu Joseph Hill "Culture" katika kibao hiki WORLD PEACE ambacho kimebeba jina la albamu iliyoitwa WORLD PEACE

We can't take another war,
We want WORLD PEACE,
Rasta say we can't take another war,
We want world peace.
The children say, we can't take another war,
We want world peace
EVERYBODY
We can't take another war,
We want world peace.

War in Africa, world peace,
War in Iraq, world peace,
War in Jerusalem, world peace,
War in a Palestine
WORLD PEACE, WE WANT THAT

We can't take another war,
WORLD PEACE,
We can't take another war,
We want world peace.
Everywhere,
We can't take another war,
We want world peace
We can't take another war,
We want world peace.

Some man wake up, them want no peace,
all them want to hear is war in the south,west and east.
Everyday the children are crying
Mamas and fathers are dying
Nuff man gone to war, and na return
THEM NA COME BACKK

Every man a run a front want to be a leader,
But i will stay in the back to lead the blind.
If every man want go up a front go shine,
who will lead the blind?
Me a go stay here so tell you later
Until half past nine. My Gosh

We can't take another war,
We want WORLD PEACE,
Rastaman can't take another war,
We want world peace.
Peace in the neighborhood,
We can't take another war,
We want world peace
We can't take another war,
We want world peace

Everyday them wake up spend out them money
pon sophisticated gun,
Everyday them spend them quatty
on sophisticated bomb
Warring, Mass Destruction
Deep coruption and nuff tings cover up,
cover up

We can't take another war,
We want WORLD PEACE,
Rastaman can't take another war,
We want world peace.
Peace in the neighborhood,
We can't take another war,
We want world peace
We can't take another war,
We want world peace


**Them, I & Them ni kipengele kikujiacho kila Ijumaa kinachoelezea kazi za wasanii (Them) kulingana na maono yangu (I) kwa ajili na manufaa ya hadhira (Them)**
Kwa nyimbo zaidi ndani ya kipengele hiki bofya hapa.
IJUMAA NJEMA

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

NI kweli kila mtu anahitaji amani. Ijumaa njema nawe pia.