Tuesday, September 1, 2009

Kwani wewe unaona nini?

Image from This14U Blog
Kama wewe ni binadamu basi una sura ifananayo na hii. Na kama unaona nionacho mimi, basi huwezi jiuliza mara mbili KWANINI WAKATI MWINGINE SIKUAMINI? Ni kwa kuwa "ninasoma sura yako"
Ukiangalia taswira hii unasoma nini / neno gani usoni mwake?

9 comments:

Anonymous said...

Liar

Yasinta Ngonyani said...

Lia

chib said...

Majonzi na majuto

Sarp said...

Hapana kwakweli..thio mimi hapa!

Fadhy Mtanga said...

Kaka umenifikirisha sana. Unasoma neno "Liar"
Ulichonifikirisha, je mi ni mwongo kusema nafanana naye?

Faith S Hilary said...

Nice illusion maana I didnt get it...lol..then i looked at other people's...bado i didnt get it but now I do...lol

Mzee wa Changamoto said...

Nuktaaaa.. duh!! Hutupi nukta ya kuwaza? Asante. Da Yasinta. Wewe wangu na najua ulichoona Kaka Chib. Hapo usoni nilidhani kuna majonzi na majuto, kumbe kuna na neno. Na pengine ukilisoma unaweza kujiuliza kama hiyo taswira ina majonzi na majuto. Lol.
Mwanajamvi SARP (jamani huyu namkaribisha toka kuleee www.angaliabongo.co.tz). Karibu saaana ndugu yangu. Ni faraja kuwa nawe na kama kawaida yetu, PAMOJA DAIMA. Kaka Fadhy, mkuu sina hakika kama wewe ni mwongo kusema unafanana na mimi ama mimi ndiye muongo kudhani kuwa unaongopa kusema unafanana na mimi. Lol
Da'Mdogo C. Hivi hujioni kuwa unatenda kilichonenwa hapo? Umeshaona neno liar kisha unataka kutudanganya kuwa ulisoma na bado hukuona. Lol
Hauko peke yako. Ona mwenzako nilivyotaabika mpaka nikatishiwa bakora na Da Subi hapa (http://bwaya.blogspot.com/2009/03/unaona-nini-kwenye-picha-hii.html)
Ilinisumbuaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Hivi ni nani aliye liar? Labda "the way you see the problem..........

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

naona sura ya kimwana wa dsm

dina said...

mmh...liar