Friday, September 11, 2009

Happy Birthdate Dave

Leo ni siku nyingine ya kutimiza na kuanza mwaka kamili wa maisha yako Uncle.
Nakutakia kila lililo jema katika masomo na maisha kwa ujumla.

Kuwa mwangalifu na mjalifu maishani.

Blessings

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana Dave,KWA SIKU HII MAALUM