Wednesday, October 21, 2009

Pass it on..............

29 yrs later

15 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Ngoja mimi nianze - tena kwa maneno matatu tu - HONGERA! SASA UMEKUA.

Subi Nukta said...

Hongera kwa ujio mpya!
Mungu akujalieni heri na afya njema!

Faith S Hilary said...

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaw finally!!!!!! Look at her!!!! just so so so so cute!..lol u knew I would freak out a bit but in a good way bro...lol...sijui niseme happy birthday to the little one ama vipi but most important of all, CONGRATULATIONS!!!!! God Bless you all!!

Mzee wa Changamoto said...

Dah!!!
Asanteni saaana WAPENDWA.

Yasinta Ngonyani said...

MUBELWA! SASA INABIDI TUKUITE BABA FULANI. HONGERENI SANA KWA KUWA WAZAZI. NI KWELI SASA UMEKUWA. MUNGU AWAJALIE AFYA NJEMA MTOTO, BABA NA BILA KUMSAHAU MAMA.

Mija Shija Sayi said...

Mzee wa changamoto naomba unifumbulie changamoto hii maana sielewi. Natanguliza hongeza zangu anyway.

Anonymous said...

du, ukioa wanasae umeongeza matatizo na sasa ukizaa ni matatizo zaid na zaidi.

asikudanganye mtu kuzaa ni hatua muhimmu sana ila kumbuka humiliki mtoto bali kapitia kwako kuja duniani na ana karma zake na ndoto zake na sababu za kuja kwake na lengo lake kwa hiyo kazzi yako ni kumlea basi na sio kumchagulia maisha au sio!!

PASSION4FASHION.TZ said...

Wow!natamani unipe na mimi nikapakate,kama alivyosema Candy so so cute,hongereni sana mama na baba......?karibu sana duniani uwe katoto kasikivu,sawa shangazi eeh!

Mzee wa Changamoto said...

Asanteni kwa mara ya tena. Da Mija. Kama ningekuwa smart nikaweka maelezo, basi yasingetofautiana na yale ya kwenye post yako ya July 13, 2008.
Na huyu ni Mwanamke wa shoka mtarajiwa.
Blessings

Yasinta Ngonyani said...

Wow kumbe kashangazi ni kadada "kachiki" safi sana nasema kama mmoja hapo natamni ningekuwa karibu nikupakate.

Mija Shija Sayi said...

Abarikiwe, abarikiwe, abarikiwe mtoto huyu. Je anaenda kwa jina gani?

Albert Kissima said...

Daaaa, nimechelewa saaana kutoa hongera zangu lakini si vibaya nami hata kwa kuchelewa niwambie hongereni sana tena sana Kaka Mubelwa na mama watoto wako.
Mungu awe nanyi daima na awabariki sana.

Simon Kitururu said...

Hongera sana Mkuu!

MALKIA said...

hi jamani kaka mzima am so happy kwa kumuona binamu yangu lol ha ha ha safi sana ila hujatuambia jina bwana na vipi wifi mzima wasalimie wote nawatakia wote watatu maisha mazuri mafanikio plz mlee binamu yetu katika maadili i know you kaka na ninaamini atafuata nyayo zako SASA UMEKUWA BABA WAJIBIKA IPASAVYO.

Evarist Chahali said...

Hongera sana ndugu yangu.Namtakia kijana makuzi mema