Tuesday, December 8, 2009

TATIZO LA BURUDANI

Wapendwa watembeleaji
Nilikuwa nikituma mtandao wa IMEEM kuweka miziki yangu, lakini kwa sasa mtandao huo umejiunga a My Space. Wameahidi kuhamisha kila kitu kuelekea kwa "wamiliki" hao wapya lakini kwa sasa bado hawajafanya hivyo
Hivyo naomba radhi pale mtakaposhindwa kupata burudani
Blessings

8 comments:

Fadhy Mtanga said...

Du! Itakula kwetu. Lakini pamoja sana mkuu.

Godwin Habib Meghji said...

Mimi nahisi nitakuwa ni mmoja kati ya waathirika wakubwa. Naamini mambo yatakwenda sawa, Na tutaendelea kufaidi kama kawaida

Yasinta Ngonyani said...

Jamani mbona wanatutesa sana. Upendo daima!!Uhuru na jamhuri njema!

Upepo Mwanana said...

Kaka'ngu unajitahidi kuwaweka sawa watu wako.
Maswali 10 kwa Kikwete hmm :-)

John Mwaipopo said...

sasa tena hii ndo nini wajameni... mpaka itakuwa mvumilivu hula mbovu

John Mwaipopo said...
This comment has been removed by the author.
Christian Bwaya said...

Mwenye haraka hula mbichi. Kula mbivu kwahitaji uvumilivu. Nitavumilia.

Faith S Hilary said...

These people can be very annoying! That will affect my "song of the week" :-(