Thursday, January 21, 2010

MIZIKI KUREJEA PUNDE

Kwa msaada mkuuubwa wa FUNDI MITAMBO WANGU Mheshimiwa Waziri wa Blogu na uchokonoaji wa internet Da Subi nimeweza kupata sehemu ya kutunza miziki na mahojiano yangu nitakayoanza kufanya. Kwa maana nyingine nimeanza kujaza miziki kwenye hiyo tovuti ili kuniwezesha kubandika hapa. Nimeanza na miziki iliyokuwemo humu bloguni lakini ikafutika baada ya host wa kwanza kutuacha bila taarifa. Hii inamaanisha kuwa punde nitaweza kurejesha burudani hiyo ambayo mara nyingi ndio ilimalizia maana ya post husika.
ASANTE SAAANA DA SUBI KWA MSAADA WAKO
PamoJAH

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Twasubiri maana bila mziki si maisha tena.

Mija Shija Sayi said...

Mimi nakwambia Subi ni namba mbaya, usiichezee kabisa namba ile. Hicho cheo kimemfaa sana mwanamke huyu wa shoka.

Bennet said...

Sie tunasubiriwa wala hatuna shaka

Simon Kitururu said...

Nilitishika kidogo kukosa miserebuko kabla sijastukia tatizo. Tuko Pamoja Mkuu!