Saturday, February 19, 2011

MAKE A CHANGE......Bushman

"If we don't change our values and re-arrange our systems, we'll always gonna be another victims......"

"contradicting themselves in their every illustration, and make me believe in their world of confusions" "treating our people like they're gabage, and through lost of vanity we never seem to aknowledge......now it's time for us to re-enforce ourselves. Who's gonna do it for US? NONE BUT OURSELVES"
Hawa juu ni kina sisi wakiondoka "eneo la tukio"

Na huyu juu ni "yeye" alipotoka "eneo la tukio"

Kutambua watoto waliopotea / kupotezana na wazazi wao

Labda hakuna wa kulaumu kwa kuwa wa kulaumiwa ndiye mlaumu.
Labda HAKUNA ATAKAYEWAJIBIKA kwa kuwa NI DESTURI YAO.
Na sasa tumsikilize BUSHMAN katika wimbo MAKE A CHANGE

Photo Credits: Michuzi Blog, Full Shangwe Blog, Global Publishers Web.

2 comments:

ALINDWA BANDIO said...

kama ulivyosema mwisho kuwa "hakuna wa kulaumu kwa kuwa wa kulaumiwa ndiye mlaumu." na hiyo ndio hali halisi. twaenda kwa kudra zake Mwenyezi Mungu

Mzee wa Changamoto said...

Ndio hivyo Kaka..
Hakuna wa kulaumu kwa kuwa wale wanaostahili kulaumu sasa ndio WALAUMIWA kwa kuwaweka WATAWALA WASIOJALI wala KUWAJIBIKA.
Matokeo yake ni kuwa tunaogopa kulaumu kwa kuwa tunaogopa kuambiwa kuwa NI CHAGUO LENU.
Ni wakati wa KUBADILI MFUMO LA SIVYO TUTAENDELEA KUWA WAHANGA WA MIFUMO YETU YA MAISHA.

Well...Hakuna ushuhuda wa asiye na dhambi na hakuna furaha kama hakuna karaha, nadhani ili tusonge mbele ni lazima tuweke kando SIFA YA KINAFIKI ya kisiwa cha amani.

TUSIUANE, TUSIPIGANE, LAKINI TUTIMUANE.