Friday, April 22, 2011

Ijumaa kuu njema

IJUMAA KUU, ambayo pia hujulikana kama IJUMAA TAKATIFU, ni sikukuu ya kidini inayoadhimishwa na waKristo duniani kote kukumbuka kuteswa na baadae kifo cha Yesu Kristo. Sikukuu hii huadhimishwa Ijumaa ya wiki Takatifu kuelekea jumapili ya Pasaka.
Wana-Changamoto Yetu Blog tunatumai kwamba njia zilizofunzwa na kuhimizwa katika mwezi mtukufu zitaendelezwa katika miezi mingine 11 iliyosalia kwa manufaa ya jamii nzima


Tunawatakia waumini wote IJUMAA KUU NJEMA
Photo Credits: 99desi.com

2 comments:

malkiory said...

Na kwako pia.

Yasinta Ngonyani said...

Ijumaa kuu iwe njema kwenu pia!