Friday, April 1, 2011

POLENI BLOGGERS NA JAMII NZIMA

Imekuwa ngumu kukutana na HABARI HII ya kifo cha Kaka, mwandishi na mwanablogu mahiri ADAM LUSEKELO. Ni nini nitasema? Ni nini tutafanya? Bali kuwa faraja kwa namna tuwezavyo juu ya wale wote walioathiriwa na haya. POLENI NYOTE

5 comments:

Simon Kitururu said...

R.I.P Adam!

Fadhy Mtanga said...

pumzika kwa amani Adam Lusekelo....

Bila wewe, bila Chesi Mpilipili, bila Richard Mabala wala nisingejifunza kuandika porojo.

Mungu akupumzishe kwa amani. Amina.

emu-three said...

Rest in Piece mkuu, ulikuwa jemedari mpiganaji ..., sina cha kusema kwani ni huzuni. Nawapa pole wanafamilia na kuwaombea subira, kwani sote imetugusa sana!

Yasinta Ngonyani said...

Pumzika kwa amani kaka Adam Lusekelo. Pole wafiwa na pia wanablogers wote .AMINA

Goodman Manyanya Phiri said...

Asante sana kwa kututaarifu. Tunawaombea familia yake, ndugu wote na jamaa, pia Watanzania wote MPATE FARAJA YA KUKUMBUKA MUNGU NDIYE MWENYEMIPANGO YOTE YETU BINADAMU MOJA MOJA TUKIWA BADO HAI HATA TUKIFA.

Katika Blog ya mwenzetu yenye jina la "SAUTI YA BARAGUMU" (John Mwaipopo) tulichambua kidogo mchango wa kalamu yake (http://mwaipopo.blogspot.com/2011/03/dowans-wants-to-negotiate-huwa-napenda.html).


Nasikitika kwamba wasiwasi na mashaka yetu sasa yataongezeka zaidi kwamba "je maandishi ya Adam Lusekelo yataingia lini (tena kivipi) katika vitabu?


Hiyo basi itakuwa changamoto kwa waandishi wengine, labda waanzishe "The Lusekelo Foundation" kwa kusaidiana na familia yake kusudi hazina yaAfrika kutokana na michango yake isutupotelee.

Kwa upande wangu nitarudia (PARAPHRASE) mchango wangu siku hiyo ya mjadala katika kibaraza cha "SAUTI YA BARAGUMU":

Rest in peace, African Brother
Son of Mother Earth Lusekelo Adam
Often the literary enigma
Frequently the mystery for motive
Yet the phenomenon without question
Galactic were the proportions!


How one crater
Complete with nuclear fission
Had its fathering meteor
come flying over Mount Kilimanjaro
Burrowing in and out
The Gorge ancient Oldvai
A human skull only to inhabit
Many and me still baffles.


You are dead today but tell you I
That fire of love shall never die
Thou started it so ride on it!
Your chariot of fire to heaven!