Friday, May 13, 2011

Duh!!!!

Baada ya BLOGGER kwenda halijojo kwa muda, naona imerejea, ile post kadhaa zimewekwa DRAFT na haziingii hata ninapojaribu kuzi-post tena.
Wamesema wanashughulikia na zote zitarejea.
POLENI KWA KUKOSA "UHONDO"

3 comments:

Subi Nukta said...

Pole kwa usumbufu.
Wamekumbwa na tatizo tangu juzi, walikuwa wanajaribu kufanya marekebisho kwa kupitia pia blogu zao kuona kama mambo sawa lakini ilishindikana kwa wakati huo, blogu zao zikarudia kuchapisha 'posts' za zamani. Natumai watafanikiwa kuondoa-bug hiyo.

Unknown said...

Subira huvuta kheri kaka.

Simon Kitururu said...

Tupo tunasubiria uhondo hapa !
Sijui kijiwe hiki nacho kimewekewa limbwata? Maana wengine tumenasa!:-(