Tuesday, November 15, 2011

Mahojiano. Waziri Mkuu Pinda na Urban Pulse

Katika kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru, Urban Pulse Creative wanakuletea mtiririko wa Mahojiano maalum kutoka kwa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda ili kutuelimisha na kutupatia changamoto mbalimbali zinazozikabili taifa letu.
Hizi ni sehemu ya kwanza, ya pili na ya tatu

1 comment:

Ebou's said...

Ngoja nisikilize then tuaze kuleta hoja.. Safi sana Mh Bandio!